MUUNDO WA CV – WATUMISHI WA UMMA

MUUNDO WA CV – WATUMISHI WA UMMA

OFISI YA RAIS – TAMISEMI
WASIFU (CV) KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Taarifa Binafsi

Maelezo Majibu (kujaza)
Majina kamili ya Mtumishi
Namba ya Simu
Barua Pepe
Cheo cha muundo
Tarehe ya cheo cha Muundo
Cheo cha Madaraka
Tarehe ya Uteuzi
Tarehe ya Cheo cha Uteuzi
Tarehe ya Kuzaliwa
Tarehe ya Ajira
Tarehe ya Kuthibitishwa
Check Namba
TCD Na:
Mahali Ulipozaliwa
Kabila
Dini
Uraia
Hadhi ya Ndoa

Elimu (Kuanzia Elimu ya Juu hadi ya Msingi)

S/N Kiwango cha Elimu/Vyuo/Shule Kozi Mwaka wa Kuanza Mwaka wa Kuhitimu Shule/Chuo Ulichosomea

Kozi / Warsha Fupi

Mwaka Kozi/Warsha Mahali Tuzo

Taasisi / Kampuni Ulizowahi Kufanya Kazi

Taasisi/Majina ya Mwajiri Kuanzia - Hadi Cheo Ulichotumikia

5.0 Kazi Unazozifanya kwa Cheo cha Sasa

.........................................................................................
.........................................................................................
.........................................................................................

6.0 Wadhamini (Wasiopungua Wanne)

Na. Jina la Mdhamini
i
ii
iii
iv

7.0 Maandiko (Published Documents)

.........................................................................................
.........................................................................................

8.0 Saini

Jina Saini Tarehe Cheo

DOWNLOAD FULL CV IN WORD FORMAT

Post a Comment

Previous Post Next Post

Recent in Sports

Facebook